sw_tn/jos/21/23.md

12 lines
423 B
Markdown

# Kutoka katika kabila la Dani, ukoo wa Kohathi ulipewa Elteke
Hii inaeweza kuelezwa kwa kutumia muundo tendaji. "Kabila la Dani waliwapa ukoo wa Kohathi eneo la Elteke.
# ukoo wa Kohathhi
Makuhani katika kundi hili walikuwa ni wazawa wa mwana wa Lawi aliyeitwa Kohathi. Sehemu yao nyingine walikuwa ni wazawa wa Haruni, ambaye ni mjukuu wa Kohathi.
# Elteke...Gibethoni..Aijaloni...Gathrimoni
Haya ni majinia ya miji