# Kutoka katika kabila la Dani, ukoo wa Kohathi ulipewa Elteke Hii inaeweza kuelezwa kwa kutumia muundo tendaji. "Kabila la Dani waliwapa ukoo wa Kohathi eneo la Elteke. # ukoo wa Kohathhi Makuhani katika kundi hili walikuwa ni wazawa wa mwana wa Lawi aliyeitwa Kohathi. Sehemu yao nyingine walikuwa ni wazawa wa Haruni, ambaye ni mjukuu wa Kohathi. # Elteke...Gibethoni..Aijaloni...Gathrimoni Haya ni majinia ya miji