sw_tn/jos/21/01.md

12 lines
223 B
Markdown

# Eliazari...Nuni
Haya ni majina ya watu
# Waliwaambia
"Walawi wakawaambia"
# Yahweh aliwaagizeni ninyi kwa mkono wa Musa
Kirai "kwa mkono wa" kina maana kwamba Yahweh alimtumia Musa kama chombo ili kuleta agizo lake.