# Eliazari...Nuni Haya ni majina ya watu # Waliwaambia "Walawi wakawaambia" # Yahweh aliwaagizeni ninyi kwa mkono wa Musa Kirai "kwa mkono wa" kina maana kwamba Yahweh alimtumia Musa kama chombo ili kuleta agizo lake.