sw_tn/jos/20/04.md

16 lines
398 B
Markdown

# Atakimbilia
Hapa kiwakilishi 'a' kinamrejelea mtu yule aliyeua bila kukusudia.
# na ataeleza kesi yake kwa wazee wa mji ule
"kuwashawishi wazee wa mji ule ya kwamba aliua mtu bila kukusudia.
# Kisha watamwingiza
Kiwakilishi 'wa' kinawarejelea wazee na kiwakilishi "m' kinamrejelea mtu aliyeua bila kukusudia.
# kuishi miongoni mwao
Hii inarejelea mji wote kwa ujumla, na si kwa wazee tu.