# Atakimbilia Hapa kiwakilishi 'a' kinamrejelea mtu yule aliyeua bila kukusudia. # na ataeleza kesi yake kwa wazee wa mji ule "kuwashawishi wazee wa mji ule ya kwamba aliua mtu bila kukusudia. # Kisha watamwingiza Kiwakilishi 'wa' kinawarejelea wazee na kiwakilishi "m' kinamrejelea mtu aliyeua bila kukusudia. # kuishi miongoni mwao Hii inarejelea mji wote kwa ujumla, na si kwa wazee tu.