forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
281 B
Markdown
8 lines
281 B
Markdown
# Huu ulikuwa ni urithi wa kabila la Isakari
|
|
|
|
Nchi na miji ambayo kabila la Zabuloni liliipokea inasemwa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao waliupokea kama mali ya kudumu
|
|
|
|
# waliopewa kwa kufuatana na koo za
|
|
|
|
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji. "Yoshua aliwapa kwa koo zao."
|