sw_tn/jos/18/07.md

20 lines
488 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yoshua anaendeleza hutoba yake kwa watoto wa Israeli.
# hana sehemu
Hakuna sehemu ya nchi
# kwa kuwa ukuhani wa Yahweh ni urithi wao
Yoshua anazungumzia juu ya heshima kubwa ambayo Walawi walikuwa nayo kwa kumtumikia Yahweh, ilikuwa kana kwamba ulikuwa ni urithi.
# nusu ya kabila la Manase
"nusu ya kabila la Manase"
# wameshapokea urithi wao
Nchi ambayo watu watairithi inaongelewa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao wangeupokea kama mali yao ya kudumu