# Maelezo ya jumla Yoshua anaendeleza hutoba yake kwa watoto wa Israeli. # hana sehemu Hakuna sehemu ya nchi # kwa kuwa ukuhani wa Yahweh ni urithi wao Yoshua anazungumzia juu ya heshima kubwa ambayo Walawi walikuwa nayo kwa kumtumikia Yahweh, ilikuwa kana kwamba ulikuwa ni urithi. # nusu ya kabila la Manase "nusu ya kabila la Manase" # wameshapokea urithi wao Nchi ambayo watu watairithi inaongelewa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao wangeupokea kama mali yao ya kudumu