sw_tn/jos/17/03.md

16 lines
419 B
Markdown

# Zelofehadi...Heferi...Eliazari
Haya ni majina ya wanaume
# Mahila, Noa, Hogila, Milka, na Tirsa
Haya ni majina ya wanawake.
# atupatie urithi wetu
Nchi inaongelewa hapa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao watu walilpewa kama mali ya kudumu. "kutupa sisi sehemu ya nchi kama urithi"
# aliwapa wanawake hao urithi
Maana zinazokubalika a)"Yoshua aliwapa wale wanawake urithi" b) Eliazeri aliwapa wanawake urithi.