# Zelofehadi...Heferi...Eliazari Haya ni majina ya wanaume # Mahila, Noa, Hogila, Milka, na Tirsa Haya ni majina ya wanawake. # atupatie urithi wetu Nchi inaongelewa hapa kana kwamba ulikuwa ni urithi ambao watu walilpewa kama mali ya kudumu. "kutupa sisi sehemu ya nchi kama urithi" # aliwapa wanawake hao urithi Maana zinazokubalika a)"Yoshua aliwapa wale wanawake urithi" b) Eliazeri aliwapa wanawake urithi.