sw_tn/jos/13/22.md

12 lines
400 B
Markdown

# huu ni mpaka wao
Mto Yordani ulikuwa mpaka upande wa magharibi wa nchi ambayo kabila la Reubeni waliipokea.
# Huu ulikuwa urithi wa kabila la Rubeni
Nchi ambayo Musa aliwagawia kabila la Rubeni inazungumziwa kana kwamba ilikuwa ni urithi ambao kabila la Rubeni walipokea kama mali ya kudumu.
# uliotolewa kwa kila ukoo,
Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji: "ambao Musa aliwapa kila ukoo."