# huu ni mpaka wao Mto Yordani ulikuwa mpaka upande wa magharibi wa nchi ambayo kabila la Reubeni waliipokea. # Huu ulikuwa urithi wa kabila la Rubeni Nchi ambayo Musa aliwagawia kabila la Rubeni inazungumziwa kana kwamba ilikuwa ni urithi ambao kabila la Rubeni walipokea kama mali ya kudumu. # uliotolewa kwa kila ukoo, Hii inaweza kuelezwa kwa muundo tendaji: "ambao Musa aliwapa kila ukoo."