sw_tn/jon/04/06.md

20 lines
318 B
Markdown

# juu ya Yona ili uwe kivuli juu ya kichwa chake
"juu ya kichwa cha Yona kwa kivuli"
# ili kupunguza dhiki yake
"kumlinda Yona kutokana na joto la jua"
# Lakini Mungu aliandaa mdudu
"Mungu alimtuma mdudu" (UDB)
# Alishambulia mmea
"Mdudu hutafuta mmea"
# mmea ukapooza
Mmea ukakauka na kufa. AT: "mmea ukafa"