sw_tn/jon/04/06.md

318 B

juu ya Yona ili uwe kivuli juu ya kichwa chake

"juu ya kichwa cha Yona kwa kivuli"

ili kupunguza dhiki yake

"kumlinda Yona kutokana na joto la jua"

Lakini Mungu aliandaa mdudu

"Mungu alimtuma mdudu" (UDB)

Alishambulia mmea

"Mdudu hutafuta mmea"

mmea ukapooza

Mmea ukakauka na kufa. AT: "mmea ukafa"