# juu ya Yona ili uwe kivuli juu ya kichwa chake "juu ya kichwa cha Yona kwa kivuli" # ili kupunguza dhiki yake "kumlinda Yona kutokana na joto la jua" # Lakini Mungu aliandaa mdudu "Mungu alimtuma mdudu" (UDB) # Alishambulia mmea "Mdudu hutafuta mmea" # mmea ukapooza Mmea ukakauka na kufa. AT: "mmea ukafa"