sw_tn/jon/03/10.md

16 lines
508 B
Markdown

# Mungu akaona yale waliyoyafanya
"Mungu alielewa kuwa waliacha kufanya vitendo mabaya"
# wakaziacha njia zao mbaya
Mwandishi anazungumzia watu wameacha kutenda dhambi kama wamegeukia kwenye kitu.
# Mungu alibadili mawazo yake juu ya adhabu aliyowaambia angewafanyia,
"Mungu alibadili mawazo yake juu ya adhabu aliyowaambia angewafanyia" au "Mungu aliamua kuwaadhibu kama alivyosema"
# nae hakufanya hivyo
Nini Mungu alipaswa kufanya inaweza kufanywa wazi. AT "na hakuwaadhibu' au 'na hakuwaangamiza"