sw_tn/jon/03/10.md

508 B

Mungu akaona yale waliyoyafanya

"Mungu alielewa kuwa waliacha kufanya vitendo mabaya"

wakaziacha njia zao mbaya

Mwandishi anazungumzia watu wameacha kutenda dhambi kama wamegeukia kwenye kitu.

Mungu alibadili mawazo yake juu ya adhabu aliyowaambia angewafanyia,

"Mungu alibadili mawazo yake juu ya adhabu aliyowaambia angewafanyia" au "Mungu aliamua kuwaadhibu kama alivyosema"

nae hakufanya hivyo

Nini Mungu alipaswa kufanya inaweza kufanywa wazi. AT "na hakuwaadhibu' au 'na hakuwaangamiza"