sw_tn/jol/01/18.md

16 lines
332 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Mungu anaendelea kuwaambia makuhani jinsi wanapaswa kuomba kwa Israeli.
# Huria
kufanya sauti ya kina kwa sababu ya maumivu
# moto umekula ..... moto umeteketeza
Maneno haya mawili yanayofanana yanafanya kazi pamoja ili kuonyesha kwamba nchi yote, ingawa kulimwa au la, iliharibiwa.
# imekauka
mito midogo