# Taarifa za jumla Mungu anaendelea kuwaambia makuhani jinsi wanapaswa kuomba kwa Israeli. # Huria kufanya sauti ya kina kwa sababu ya maumivu # moto umekula ..... moto umeteketeza Maneno haya mawili yanayofanana yanafanya kazi pamoja ili kuonyesha kwamba nchi yote, ingawa kulimwa au la, iliharibiwa. # imekauka mito midogo