sw_tn/jol/01/18.md

332 B

Taarifa za jumla

Mungu anaendelea kuwaambia makuhani jinsi wanapaswa kuomba kwa Israeli.

Huria

kufanya sauti ya kina kwa sababu ya maumivu

moto umekula ..... moto umeteketeza

Maneno haya mawili yanayofanana yanafanya kazi pamoja ili kuonyesha kwamba nchi yote, ingawa kulimwa au la, iliharibiwa.

imekauka

mito midogo