sw_tn/job/41/07.md

12 lines
408 B
Markdown

# e waweza kuijaza ngozi yake kwa vyusa au kichwa chake kwa mikuki ya kuvulia?
"Hauwezi kumchoma ngozi yake kwa silaha za kuwindia, wala kumchoma kichwa chake kwa zana za kuvulia"
# vyusa au kichwa cha mikuki
chusa ni mkuki mkubwa ukiwa umechongoka ukitumika kuwindia samaki wakubwa au nyangumi.
# je si kila mmoja atatupwa chini katika nchi mbele yake?
"kila mmoja atatupwa chini ardhini mbele yake"