# e waweza kuijaza ngozi yake kwa vyusa au kichwa chake kwa mikuki ya kuvulia? "Hauwezi kumchoma ngozi yake kwa silaha za kuwindia, wala kumchoma kichwa chake kwa zana za kuvulia" # vyusa au kichwa cha mikuki chusa ni mkuki mkubwa ukiwa umechongoka ukitumika kuwindia samaki wakubwa au nyangumi. # je si kila mmoja atatupwa chini katika nchi mbele yake? "kila mmoja atatupwa chini ardhini mbele yake"