sw_tn/job/40/22.md

16 lines
375 B
Markdown

# miti yenye vivuli
angalia jinsi ulivyotafsiri hii katika 40:19
# kingo
pande za mto
# hata kama Mto wa Yordani unajaa hadi katika pua yake
"hata kama gharika litakuja juu ya pua yake"
# Je mtu yeyote aweza kumnasa kwa ndoano... kwa mtego?
Hili ni swali hili la kejeli hupaswa kujibiwa kwa jibu la kukanusha. "Hakuna yeyote awezaye kumkamata kwa ndoano au kwa mtego"