# miti yenye vivuli angalia jinsi ulivyotafsiri hii katika 40:19 # kingo pande za mto # hata kama Mto wa Yordani unajaa hadi katika pua yake "hata kama gharika litakuja juu ya pua yake" # Je mtu yeyote aweza kumnasa kwa ndoano... kwa mtego? Hili ni swali hili la kejeli hupaswa kujibiwa kwa jibu la kukanusha. "Hakuna yeyote awezaye kumkamata kwa ndoano au kwa mtego"