sw_tn/job/39/27.md

16 lines
376 B
Markdown

# Je ni kwa agizo lako ... kiota chake katika sehemu za juu?
Jibu lililofichika la swali hili ni ''hapana'' ''si kwa maagizo yako....kiota katika sehemu za juu"
# Je ni kwa agizo lako
"je ni kwasababu wewe unaiambia kufanya hivyo"
# huruka juu
"hupaa juu angani"
# majabali
ni vifusi virefu ni makao ya tai kwasababu wanyama ambao wangetaka kuwala hawawezi kuwafikia.