# Je ni kwa agizo lako ... kiota chake katika sehemu za juu? Jibu lililofichika la swali hili ni ''hapana'' ''si kwa maagizo yako....kiota katika sehemu za juu" # Je ni kwa agizo lako "je ni kwasababu wewe unaiambia kufanya hivyo" # huruka juu "hupaa juu angani" # majabali ni vifusi virefu ni makao ya tai kwasababu wanyama ambao wangetaka kuwala hawawezi kuwafikia.