sw_tn/job/39/01.md

28 lines
591 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu.
# Je unajua ni wakati gani .... muda ambao huzaa watoto wao
Yahweh anatumia maswali haya kutia mkazo kwamba anatunza mbuzi na paa ilihali Ayubu hawezi kufanya hivyo.
# Je waweza kuwangalia paa wakati wanapozaa watoto wao?
"wakai paa wanapozaa je waweza kuhakikisha kwamba kila kitu kinaenda sawa"
# wanapozaa watoto wao
"kuzaa"
# "kuhesabu miezi ya kuchukua mimba
"kuhakikisha kuwa wanakamilisha muda wa mimba zao"
# wa....
Kiambishi hiki kinarejelea mbuzi na paa
# muda ambao huzaa watoto wao
wakati wao wa kuzaa"