# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kumtia changamoto Ayubu. # Je unajua ni wakati gani .... muda ambao huzaa watoto wao Yahweh anatumia maswali haya kutia mkazo kwamba anatunza mbuzi na paa ilihali Ayubu hawezi kufanya hivyo. # Je waweza kuwangalia paa wakati wanapozaa watoto wao? "wakai paa wanapozaa je waweza kuhakikisha kwamba kila kitu kinaenda sawa" # wanapozaa watoto wao "kuzaa" # "kuhesabu miezi ya kuchukua mimba "kuhakikisha kuwa wanakamilisha muda wa mimba zao" # wa.... Kiambishi hiki kinarejelea mbuzi na paa # muda ambao huzaa watoto wao wakati wao wa kuzaa"