sw_tn/job/38/12.md

32 lines
1.1 KiB
Markdown

# Maelezo ya jumla
Yahweh aendelea kumtia changamoto Ayubu.
# Je tangu mwanzo wa siku zako, ulishawahi .....waovu watikiswe mbali nayo?
Yahweh anatumia swali hili kutilia mkazo kwamba ni Mungu tu anazo nguvu juu ya asubuhu na Ayubu hana hizo nguvu.
# tangu mwanzo wa siku zako
Kirai hiki kina maana "tangu ulipozaliwa" au "katika siku
# kuigiza asubuhi
Yahweh anaeilezea asubuhi kana kwamba alikuwa ni mtu ambaye angeweze kupokea maagizo.
# a kuyafanya mapambazuko yajue sehemu yake katika mpangilio wa vitu
"uyaache mapambazuko yajue kule miliki yake iliko"
# mapambazuko
ni mwanga unajitokeza asubuhi kabla ya jua halijachomoza.
# ili kwamba ishikilie sehemu za dunia
Yahweh anaiongelea asubuhi kana kwamba ni mtu anayeshikila pembe za dunia kama pembe za mkeka. Mapambazuko yanaonekana kushikilia sehemu za dunia kwasababu mwanga wake huonekana kwanza pembezoni.
# ili watu waovu watikiswe mbali nayo.
''na kuwatikisa watu waovu nje ya dunia." Mwanga wa mapambazuko huwafanya watu waovu waende mbali kama kutikisa kwa mkeka kunavyotoa uchafu juu yake.