sw_tn/job/37/10.md

8 lines
227 B
Markdown

# Barafu imetolewa kwa pumzi ya Mungu
Elihu anaongelea juu ya upepo wa baridi wa kaskazini kana kwamba ni pumzi ya Mungu. "Pumzi ya Mungu hufanya barafu"
# umeganda kama chuma
wakati maji yanapoganda, huwa magumu kama chuma