# Barafu imetolewa kwa pumzi ya Mungu Elihu anaongelea juu ya upepo wa baridi wa kaskazini kana kwamba ni pumzi ya Mungu. "Pumzi ya Mungu hufanya barafu" # umeganda kama chuma wakati maji yanapoganda, huwa magumu kama chuma