sw_tn/job/36/17.md

16 lines
507 B
Markdown

# wewe umejaa hukumu juu ya watu waovu
Maana zinazokubalika ni 1)" Mungu anakuhukumu kama ambavyo angewahukumu watu waovu" au 2) "umejawa na kushikwa na hukumu ambayo watu waovu wanastahili"
# hukumu na haki umeziachilia
"Mungu amekuleta katika hukumu na amekupa haki"
# Usiuache utajiri ukuvute katika udanganyifu;
Usimruhusu mtu akuvute katika udanganyifu kwa mali.
# sehemu kubwa ya rushwa isikugeuze upande kutoka katika haki.
"Usimruhusu mtu akugeuze upande kutoka katika haki kwa rusha kubwa.