# wewe umejaa hukumu juu ya watu waovu Maana zinazokubalika ni 1)" Mungu anakuhukumu kama ambavyo angewahukumu watu waovu" au 2) "umejawa na kushikwa na hukumu ambayo watu waovu wanastahili" # hukumu na haki umeziachilia "Mungu amekuleta katika hukumu na amekupa haki" # Usiuache utajiri ukuvute katika udanganyifu; Usimruhusu mtu akuvute katika udanganyifu kwa mali. # sehemu kubwa ya rushwa isikugeuze upande kutoka katika haki. "Usimruhusu mtu akugeuze upande kutoka katika haki kwa rusha kubwa.