sw_tn/job/36/08.md

8 lines
257 B
Markdown

# wamefungwa minyororo
Hapa kiambishi 'wa' kinawarejelea watu kwa ujumla. "mtu mmoja aliwafunga kwa minyororo''
# kunaswa katika kamba za mateso
Elihu anaongelea juu ya mateso kana kwamba yanaweza kuwanasa watu kwa kamba. "kama mtu atawafanya wateseke"