# wamefungwa minyororo Hapa kiambishi 'wa' kinawarejelea watu kwa ujumla. "mtu mmoja aliwafunga kwa minyororo'' # kunaswa katika kamba za mateso Elihu anaongelea juu ya mateso kana kwamba yanaweza kuwanasa watu kwa kamba. "kama mtu atawafanya wateseke"