sw_tn/job/34/36.md

12 lines
328 B
Markdown

# Kama Ayubu alijaribiwa kwa kitu kidogo kabisa katika kesi yake
"kama tu tungeweza kumpeleka Ayubu mahakamani ili kwamba hakimu aweze kumsikia kwa malalamiko yake yote."
# anapiga makofi ya dharau kati yetu
"Humdharau Mungu mbele yetu hasa"
# anaweka maneno kinyume na Mungu
"anaendelea kusema mambo mabaya kumhusu Mungu"