# Kama Ayubu alijaribiwa kwa kitu kidogo kabisa katika kesi yake "kama tu tungeweza kumpeleka Ayubu mahakamani ili kwamba hakimu aweze kumsikia kwa malalamiko yake yote." # anapiga makofi ya dharau kati yetu "Humdharau Mungu mbele yetu hasa" # anaweka maneno kinyume na Mungu "anaendelea kusema mambo mabaya kumhusu Mungu"