sw_tn/job/34/26.md

20 lines
383 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# dhahiri mbele za watu wengine
"katika sehemu ambayo kila mtu anaweza kuona"
# wamegeuka na kuacha kumfuata yeye
"wangeacha kumtii yeye"
# njia zake
Hii inarejelea maagizo ya Mungu kwa jinsi ambavyo watu wanapaswa kuenenda.
# wamekifanya kilio cha watu masikini kimfikie
"waliwafanya watu masikini walie, na Mungu aliwasikia"