# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuzungumza # dhahiri mbele za watu wengine "katika sehemu ambayo kila mtu anaweza kuona" # wamegeuka na kuacha kumfuata yeye "wangeacha kumtii yeye" # njia zake Hii inarejelea maagizo ya Mungu kwa jinsi ambavyo watu wanapaswa kuenenda. # wamekifanya kilio cha watu masikini kimfikie "waliwafanya watu masikini walie, na Mungu aliwasikia"