sw_tn/job/34/18.md

24 lines
588 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# Mungu ambaye humwambia mfalme, ' Wewe ni mbaya; au huwaambia wenye kuheshimiwa, 'Ninyi ni waovu'?
Hii inaendeleza swali kutoka katika mstari uliotangulia.
# mbaya
"mwovu" au "asiyestahili"
# , kwa kuwa wote ni kazi ya mikono yake
Mahali hapa neno "mkono" linamaanisha nguvu.
# wakati wa usiku watu watatikiswa na watapita
"wakati wa usiku" ni wakati wa mwisho wa siku na mwanzo wa siku nyingine.
# watu wenye nguvu watatwaliwa mbali,lakini si kwa mikono ya wanadamu.
"Ni Mungu wala si wanadamu anayewafanya watu wa muhimu wafe.