sw_tn/job/34/10.md

20 lines
716 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anazidi kuongea
# enyi watu wenye ufahamu
Elihu anamkosoa Ayubu na marafiki zake. Hadhani kabisa kama walikuwa ni watu wenye hekima.
# iwe mbali na Mwenye enzi kwamba atatenda dhambi
Hii ina maana sawa na sehemu nyingine ya sentensi iliyotangulia. Elihu anakazia kwamba Mungu siku zote hufanya yaliyo ya haki.
# humfanya mtu apate thawabu za njia zake mwenyewe
Hii inamaana sawa na sehemu nyingine ya sentensi iliyotangulia. Elihu anatia mkazo kwamba Mungu huwapa watu kile wanachostahili.
# Mungu hatendi uovu, wala Mwenye nguvu hajaIpotosha haki.
Hii ina maana sawa na sehemu nyingine ya sentensi iliyotangulia. Elihu anakazia kwamba Mungu siku zote hufanya yaliyo ya haki.