# Maelezo ya jumla Elihu anazidi kuongea # enyi watu wenye ufahamu Elihu anamkosoa Ayubu na marafiki zake. Hadhani kabisa kama walikuwa ni watu wenye hekima. # iwe mbali na Mwenye enzi kwamba atatenda dhambi Hii ina maana sawa na sehemu nyingine ya sentensi iliyotangulia. Elihu anakazia kwamba Mungu siku zote hufanya yaliyo ya haki. # humfanya mtu apate thawabu za njia zake mwenyewe Hii inamaana sawa na sehemu nyingine ya sentensi iliyotangulia. Elihu anatia mkazo kwamba Mungu huwapa watu kile wanachostahili. # Mungu hatendi uovu, wala Mwenye nguvu hajaIpotosha haki. Hii ina maana sawa na sehemu nyingine ya sentensi iliyotangulia. Elihu anakazia kwamba Mungu siku zote hufanya yaliyo ya haki.