sw_tn/job/34/04.md

20 lines
392 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anazidi kuongea
# Na tujichagulie sisi
Hapa "sisi" inamrejelea Elihu, Ayubu, na marafiki wake watatu.
# ameondoa haki zangu
"amekataa kunipa haki "
# , ninaangaliwa kama mwongo
"marafiki zangu hudhani mimi ni mwongo" Hii huenda yaweza kumaanisha: "Mungu hasemi ukweli kuhusu mimi"
# Kidonda changu hakiponyeki,
"mimi ni mgonjwa na hakuna awezaye kuniponya"