sw_tn/job/33/06.md

12 lines
254 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuongea na Ayubu.
# nimeumbwa pia kutoka katika udongo
"Mungu amenifanya kutokana na udongo"
# wala mzigo wangu hautakuwa mzito kwako.
"Sitakutesa wewe kwa kile ninachokisema" au " nitazungumza na wewe kwa upole"