# Maelezo ya jumla Elihu anaendelea kuongea na Ayubu. # nimeumbwa pia kutoka katika udongo "Mungu amenifanya kutokana na udongo" # wala mzigo wangu hautakuwa mzito kwako. "Sitakutesa wewe kwa kile ninachokisema" au " nitazungumza na wewe kwa upole"