sw_tn/job/33/01.md

20 lines
575 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# usikilize hotuba yangu; sikiliza maneno yangu yote
Virai hivi viwili vinamaanisha kitu kimoja. Elihu anatia mkazo kwamba Ayubu lazima asikilize kwa makini.
# nimeufumbua mdomo wangu; ulimi wangu umesema maneno ndani ya mdomo wangu
Kauli hizi zinamaanisha kitu kimoja. Elihu anatiza mkazo kwamba sasa ana utayari wa kuzungumza.
# Maneno yangu yatasema uadilifu wa moyo wangu
"Nitazungumza kwa ukamilifu wa uadilifu"
# yatasema kwa unyofu yale ambayo mdomo wangu unayajua.
"Nitakwambia kwa uaminifu mambo ninayoyajua"