sw_tn/job/32/17.md

16 lines
492 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza kwa kutumia mtindo wa usambamba
# nimejawa na maneno
"nina mengi sana ya kusema"
# roho ndani yangu inanisukuma
"lazima niseme sasa"
# kifua changu ni kama divai yenye chachu ambayo haina tundu; kama viriba vipya, kiko tayari kupasuka.
Wakati divai inapochacha, gesi hujikusanya katika chombo. Kama gesi hiyo yaitaondolewa, chombo kitapasuka . Elihu anamaanisha kwamba anayo mengi ya kusema na kama hatayasema anajisikia kama atapasuka.