sw_tn/job/32/15.md

12 lines
458 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Elihu anaendelea kuzungumza
# Hawa watu watatu wamep igwa bumbuwazi; hawawezi kuendelea kumjibu Ayubu; hawana neno zaidi la kusema
Vipande vitatu vya mstari hii vinamaanisha kitu kimoja. Elihu anakazia kwamba marafiki wa Ayubu wamesema kile walichoweza kusema.
# Je ninapaswa kusubiria kwasababu hawazungumzi, kwa kuwa wamesimama pale kimya na wala hawajibu zaidi?
Elihu anatumia swali kukazia kwamba hatasubiria tena ili azungumze