sw_tn/job/31/38.md

8 lines
331 B
Markdown

# Maelezo ya jumla
Hii inahitimisha maelezo ya Ayubu juu ya hali ambazo ndani yake angestahili hukumu ya Mungu, lakini anajua kuwa haikuwa kweli.
# Kama nchi yangu ingelia dhidi yangu, na matuta yake yaomboleza pamoja
Ayubu anaielezea nchi kana kwamba alikuwa mtu ambaye analia kwasababu Ayubu ameiiba kutoka kwa mmliki halali.